Ubongo Kids Kiswahili

Ubongo Kids Webisode 10 - Matunda na Kujifunza Part 2

Ubongo Kids Webisode 9 - "Matunda na Kujifunza Part 2" / "Fruity Fractions" - the Tanzanian educational cartoon as seen on TBC1. Katuni hii ya Kiswahili inafundisha kuhusu sehemu rahisi na sehemu isiyorahisi. Ngedere anataka kuanza biashara ya matunda. Kibena na Kiduchu wanamsaidia. Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. http://ubongokids.com http://youtube.com/ubongokids http://facebook.com/ubongokids http://twitter.com/ubongotz This Kiswahili Cartoon teaches about types of fractions. Watch Ubongo Kids every Saturday and Sunday morning on TBC1 in Tanzania. An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

Mar 22, 2014